Isaya 24:20 BHN

20 Inapepesuka kama mlevi,inayumbayumba kama kibanda.Imelemewa na mzigo wa dhambi zakenayo itaanguka wala haitainuka tena.

Kusoma sura kamili Isaya 24

Mtazamo Isaya 24:20 katika mazingira