Isaya 24:6 BHN

6 Kwa sababu hiyo laana inaitokomeza dunia,wakazi wake wanateseka kwa makosa yao.Wakazi wa dunia wamepungua,ni watu wachache tu waliosalia.

Kusoma sura kamili Isaya 24

Mtazamo Isaya 24:6 katika mazingira