Isaya 24:8 BHN

8 Mdundo wa vigoma umekoma,nderemo na vifijo vimetoweka;midundo ya vinubi imekomeshwa.

Kusoma sura kamili Isaya 24

Mtazamo Isaya 24:8 katika mazingira