Isaya 25:4 BHN

4 Maana wewe umekuwa ngome kwa maskini,ngome kwa fukara katika taabu zao.Wewe ni kimbilio wakati wa tufani,kivuli wakati wa joto kali.Kweli pigo la watu wakatili ni kalikama tufani inayopiga ukuta;

Kusoma sura kamili Isaya 25

Mtazamo Isaya 25:4 katika mazingira