Isaya 26:1 BHN

1 Siku ile watu wataimba wimbo huu katika nchi ya Yuda:Sisi tuna mji imara:Mungu anatulinda kwa kuta na ngome.

Kusoma sura kamili Isaya 26

Mtazamo Isaya 26:1 katika mazingira