Isaya 27:12 BHN

12 Siku hiyo, kutoka mto Eufrate hadi mpakani mwa Misri, Mwenyezi-Mungu ataipura nafaka yake, nanyi Waisraeli mtakusanywa mmojammoja.

Kusoma sura kamili Isaya 27

Mtazamo Isaya 27:12 katika mazingira