Isaya 27:6 BHN

6 Itakuja siku wazawa wa Yakobo watashika mizizi;naam, watu wa Israeli watachanua na kuchipua,na kuijaza dunia yote kwa matunda.

Kusoma sura kamili Isaya 27

Mtazamo Isaya 27:6 katika mazingira