Isaya 28:15 BHN

15 “Nyinyi mnajidai mmefanya mkataba na kifo,mmefanya mapatano na Kuzimu!Nyinyi mwasema eti balaa lijapo halitawapata,kwa sababu mmefanya uongo kuwa tegemeo lenu,na udanganyifu kuwa kinga yenu!”

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:15 katika mazingira