Isaya 28:17 BHN

17 Nitatumia haki kama kipimo changu,nitatumia uadilifu kupimia.”Mvua ya mawe itaufagilia mbali uongo mnaoutegemea,na mafuriko yataharibu kinga yenu.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:17 katika mazingira