Isaya 28:25 BHN

25 La! Akisha lisawazisha shamba lake,hupanda mbegu za bizari na jira,akapanda ngano na shayiri katika safu,na mipakani mwa shamba mimea mingineyo.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:25 katika mazingira