Isaya 28:27 BHN

27 Bizari haipurwi kwa mtarimbowala jira kwa gari la ng'ombe!Ila bizari hupurwa kwa kijitina jira kwa fimbo.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:27 katika mazingira