Isaya 28:29 BHN

29 Ujuzi huu nao watoka kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi.Mipango yake Mungu ni ya ajabu,hekima yake ni kamilifu kabisa.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:29 katika mazingira