Isaya 28:5 BHN

5 Siku ile Mwenyezi-Mungu wa majeshi atakuwa taji tukufu,kama kilemba kizuri kwa watu wake watakaobaki hai.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:5 katika mazingira