Isaya 28:7 BHN

7 Lakini wako wengine waliolewa divaina kuyumbayumba kwa sababu ya pombe;naam, makuhani na manabii wamelewa mvinyo,wamevurugika kwa divai.Wanayumbayumba kwa pombe kali;maono yao yamepotoka,wanapepesuka katika kutoa hukumu.

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:7 katika mazingira