Isaya 28:9 BHN

9 Wao wananidhihaki na kuuliza:“Huyu nabii ataka kumfundisha nani?Je, anadhani atatueleza sisi ujumbe wake?Je, sisi ni watoto wachangawalioachishwa kunyonya juzijuzi?

Kusoma sura kamili Isaya 28

Mtazamo Isaya 28:9 katika mazingira