Isaya 30:20 BHN

20 Ingawa Bwana atawalisha taabu na kuwanywesha dhiki, yeye ndiye Mwalimu wenu na hatajificha tena; nanyi mtamwona kwa macho yenu wenyewe.

Kusoma sura kamili Isaya 30

Mtazamo Isaya 30:20 katika mazingira