Isaya 30:3 BHN

3 Lakini ulinzi wa Farao utakuwa aibu yenu,na usalama nchini Misri utakuwa fedheha yenu.

Kusoma sura kamili Isaya 30

Mtazamo Isaya 30:3 katika mazingira