Isaya 30:32 BHN

32 Kila pigo la adhabu ya Mwenyezi-Mungu juu ya Waashuru litaandamana na mdundo wa ngoma na zeze. Yeye mwenyewe binafsi atapigana na Waashuru.

Kusoma sura kamili Isaya 30

Mtazamo Isaya 30:32 katika mazingira