Isaya 33:21 BHN

21 Humo Mwenyezi-Mungu atatuonesha ukuu wake.Kutakuwa na mito mikubwa na vijito,ambamo meli za vita hazitapita,wala meli kubwa kuingia.

Kusoma sura kamili Isaya 33

Mtazamo Isaya 33:21 katika mazingira