14 Pakamwitu na fisi watakuwa humo,majini yataitana humo;kwao usiku utakuwa mwanga,na humo watapata mahali pa kupumzikia.
Kusoma sura kamili Isaya 34
Mtazamo Isaya 34:14 katika mazingira