16 Someni katika kitabu cha Mwenyezi-Mungu:“Hakuna hata kiumbe kimoja kitakachokosekana,kila kimoja kitakuwako na mwenzake.”Maana Mwenyezi-Mungu mwenyewe ametamka hivyo,roho yake itawakusanya hao wote.
Kusoma sura kamili Isaya 34
Mtazamo Isaya 34:16 katika mazingira