Isaya 35:2 BHN

2 Litachanua maua kwa wingi kama waridi,litashangilia na kuimba kwa furaha.Mungu atalijalia fahari ya milima ya Lebanoni,uzuri wa mlima Karmeli na wa bonde la Sharoni.Watu watauona utukufu wa Mwenyezi-Mungu,watauona ukuu wa Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Isaya 35

Mtazamo Isaya 35:2 katika mazingira