Isaya 35:4 BHN

4 Waambieni waliokufa moyo:“Jipeni moyo, msiogope!Tazameni Mungu wenu atakuja kulipiza kisasi,atakuja kuwaadhibu maadui zenu;atakuja yeye mwenyewe kuwaokoeni.”

Kusoma sura kamili Isaya 35

Mtazamo Isaya 35:4 katika mazingira