7 Mchanga wa moto jangwani utakuwa bwawa la maji,ardhi kavu itabubujika vijito vya maji.Makao ya mbwamwitu yatajaa maji;nyasi zitamea na kukua kama mianzi.
Kusoma sura kamili Isaya 35
Mtazamo Isaya 35:7 katika mazingira