Isaya 36:15 BHN

15 Msikubali awashawishi ili mumtegemee Mwenyezi-Mungu akisema, ‘Mwenyezi-Mungu hakika atatuokoa na mji huu hautatiwa mkononi mwa mfalme wa Ashuru.’

Kusoma sura kamili Isaya 36

Mtazamo Isaya 36:15 katika mazingira