Isaya 36:18 BHN

18 Angalieni basi Hezekia asiwahadae akisema kwamba Mwenyezi-Mungu atawaokoeni. Je, kuna yoyote kati ya miungu ya mataifa aliyewahi kuokoa nchi yake mkononi mwa mfalme wa Ashuru?

Kusoma sura kamili Isaya 36

Mtazamo Isaya 36:18 katika mazingira