6 Angalia! Sasa unategemea Misri, utete uliovunjika ambao utamchoma mkono yeyote atakayeuegemea. Hivyo ndivyo Farao, mfalme wa Misri alivyo, kwa wote wale wanaomtegemea.’
Kusoma sura kamili Isaya 36
Mtazamo Isaya 36:6 katika mazingira