8 Basi, fanyeni mkataba na bwana wangu mfalme wa Ashuru; mimi nitawapatieni farasi 2,000, kama mtaweza kupata wapandafarasi.
Kusoma sura kamili Isaya 36
Mtazamo Isaya 36:8 katika mazingira