Isaya 37:10 BHN

10 “Mwambieni Hezekia mfalme wa Yuda: ‘Usikubali Mungu wako unayemtegemea akudanganye kwa kukuahidi kwamba Yerusalemu hautatekwa na mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:10 katika mazingira