Isaya 37:17 BHN

17 Ee, Mwenyezi-Mungu, fumbua macho uone, tega sikio lako, uyasikie matusi yote ambayo Senakeribu amepeleka na kukutukana wewe Mungu uliye hai.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:17 katika mazingira