Isaya 37:19 BHN

19 Waliweza kuitupa miungu yao motoni, kwa sababu haikuwa miungu kweli bali sanamu za miti au mawe zilizochongwa na mikono ya watu.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:19 katika mazingira