Isaya 37:3 BHN

3 Nao wakamwambia Isaya, “Hezekia anasema hivi, ‘Leo ni siku ya huzuni, siku ya kukemewa, na ya dharau. Sisi tumekuwa kama mama anayetaka kujifungua mtoto, lakini hana nguvu ya kumzaa.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:3 katika mazingira