Isaya 37:36 BHN

36 Basi, wakati wa usiku malaika wa Mwenyezi-Mungu aliingia kambini mwa Waashuru na kuwaua watu 185,000. Halafu kulipopambazuka watu hao wote walionekana wakiwa maiti.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:36 katika mazingira