Isaya 37:6 BHN

6 yeye akawaambia, “Mwambieni bwana wenu kwamba Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Usiogope kwa sababu ya maneno ya watumishi wa mfalme wa Ashuru uliyoyasikia, maneno ambayo wameyasema kunidharau.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:6 katika mazingira