Isaya 38:5 BHN

5 “Nenda ukamwambie Hezekia, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa baba yako Daudi, anasema hivi: Nimesikia ombi lako na nimeyaona machozi yako. Basi, nakuongezea miaka kumi na mitano ya kuishi.

Kusoma sura kamili Isaya 38

Mtazamo Isaya 38:5 katika mazingira