Isaya 39:3 BHN

3 Ndipo nabii Isaya alipokwenda kwa mfalme Hezekia na kumwuliza, “Watu hawa wamesema nini? Na, wamekujia kutoka wapi?” Naye Hezekia akamjibu “Wamenijia kutoka nchi ya mbali, huko Babuloni.”

Kusoma sura kamili Isaya 39

Mtazamo Isaya 39:3 katika mazingira