Isaya 39:6 BHN

6 Tazama, siku zinakuja ambapo vyote vilivyomo nyumbani mwako na vitu vyote walivyokusanya wazee wako hadi leo, vitapelekwa mpaka Babuloni. Hakuna kitu chochote kitakachobaki; ndivyo asemavyo Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Isaya 39

Mtazamo Isaya 39:6 katika mazingira