Isaya 39:8 BHN

8 Naye Hezekia akamwambia Isaya, “Neno la Mwenyezi-Mungu ulilosema ni sawa.” Alisema hivyo kwani alifikiri, “Kutakuwa na amani na usalama muda wote niishipo.”

Kusoma sura kamili Isaya 39

Mtazamo Isaya 39:8 katika mazingira