14 Mwenyezi-Mungu alimtaka nani shauri,ndipo akapata kuwa mwenye ujuzi?Nani aliyemfunza njia za haki?Nani aliyemfundisha maarifa,na kumwonesha namna ya kuwa na akili?
Kusoma sura kamili Isaya 40
Mtazamo Isaya 40:14 katika mazingira