Isaya 40:24 BHN

24 Mara tu wanaposimikwa na kuanza kuota,hata kabla hawajatoa mizizi kama miti udongoni,Mwenyezi-Mungu akiwapulizia hunyauka,kimbunga huwapeperusha kama makapi!

Kusoma sura kamili Isaya 40

Mtazamo Isaya 40:24 katika mazingira