27 Enyi watu wa Israeli wazawa wa Yakobo,kwa nini mnalalamika na kusema:“Mwenyezi-Mungu hatujali sisi!Mungu wetu hajali haki yetu!”
Kusoma sura kamili Isaya 40
Mtazamo Isaya 40:27 katika mazingira