Isaya 40:31 BHN

31 Lakini wote wanaomtumainia Mwenyezi-Mungu,watapata nguvu mpya.Watapanda juu kwa mabawa kama tai;watakimbia bila kuchoka;watatembea bila kulegea.

Kusoma sura kamili Isaya 40

Mtazamo Isaya 40:31 katika mazingira