Isaya 40:4 BHN

4 Kila bonde litasawazishwa,kila mlima na kilima vitashushwa;ardhi isiyo sawa itafanywa sawa,mahali pa kuparuza patalainishwa.

Kusoma sura kamili Isaya 40

Mtazamo Isaya 40:4 katika mazingira