Isaya 42:11 BHN

11 jangwa na miji yake yote ipaaze sauti,vijiji vya wakazi wa Kedari vimsifu,wakazi wa Sela waimbe kwa shangwe;wapaaze sauti kutoka mlimani juu.

Kusoma sura kamili Isaya 42

Mtazamo Isaya 42:11 katika mazingira