Isaya 43:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu aliyewaumba enyi watu wa Yakobo,yeye aliyewafanya enyi watu wa Israeli, asema:“Msiogope, maana mimi nimewakomboa;nimewaita kwa jina nanyi ni wangu.

Kusoma sura kamili Isaya 43

Mtazamo Isaya 43:1 katika mazingira