14 Mwenyezi-Mungu, Mkombozi wenu,Mtakatifu wa Israeli, asema hivi:“Kwa ajili yenu nitatuma jeshi Babuloni.Nitayavunjilia mbali malango ya mji wake,na kelele za hao Wakaldayo zitageuka maombolezo.
Kusoma sura kamili Isaya 43
Mtazamo Isaya 43:14 katika mazingira