Isaya 43:6 BHN

6 Nitaiambia kaskazini, ‘Waache waondoke’,na kusini, ‘Usiwazuie’!Warudisheni watu kutoka mbali,kutoka kila mahali duniani.

Kusoma sura kamili Isaya 43

Mtazamo Isaya 43:6 katika mazingira