Isaya 44:12 BHN

12 Mfuachuma huchukua madini, akayayeyusha motoni na kufua sanamu. Huigongagonga kwa nyundo ili kuipa umbo kwa mikono yake yenye nguvu. Wakati wote huo yeye huona njaa na kuchoka; huona kiu na nguvu kumwishia.

Kusoma sura kamili Isaya 44

Mtazamo Isaya 44:12 katika mazingira