Isaya 44:14 BHN

14 Mtu hukata mti wa mwerezi ili autumie, au huchagua mberoshi au mwaloni. Huuacha ukue kati ya miti ya msituni. Au hupanda mwerezi na mvua huustawisha.

Kusoma sura kamili Isaya 44

Mtazamo Isaya 44:14 katika mazingira