16 Kisha huchukua kuni zake akaoka nazo moto, akachoma nyama juu yake, akala, akashiba. Halafu hukaa hapo akiota moto na kusema, “Naam! Ama kweli nimepata joto! Huo ndio moto!”
Kusoma sura kamili Isaya 44
Mtazamo Isaya 44:16 katika mazingira